T tpmazembe JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 2,469 Reaction score 586 Feb 27, 2014 #1 Nimejifunza kuwa umoja ni Nguvu na utengano ni udhaifu. Pili nikashangaa kuwa yote ya muungano wazanzibar wanataka yasiwe ya muungano nikashangaa hawataki ulinzi na usalama iwe ya muungano wanataka kujilinda wenyewe hawataki fedha na uchumi wanataka kucontrol uchumi wao hawataki uraia na uhamiaji iwe ya muungano wanataka wawe na passport zao na wamkaribishe wamtakaye hawataki mambo ya nje iwe ya muungano wachague upande wa kufunga mana nao sasa najiuliza watu hawa mbona hawataki hii zawadi nono ya muungano?
Nimejifunza kuwa umoja ni Nguvu na utengano ni udhaifu. Pili nikashangaa kuwa yote ya muungano wazanzibar wanataka yasiwe ya muungano nikashangaa hawataki ulinzi na usalama iwe ya muungano wanataka kujilinda wenyewe hawataki fedha na uchumi wanataka kucontrol uchumi wao hawataki uraia na uhamiaji iwe ya muungano wanataka wawe na passport zao na wamkaribishe wamtakaye hawataki mambo ya nje iwe ya muungano wachague upande wa kufunga mana nao sasa najiuliza watu hawa mbona hawataki hii zawadi nono ya muungano?
T tpmazembe JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 2,469 Reaction score 586 Feb 27, 2014 Thread starter #2 there is demonic forces nyuma yake, watu wanapewa access ya ardhi kubwa namna hii na ulinzi bora wanapuuzia.shauri yao.
there is demonic forces nyuma yake, watu wanapewa access ya ardhi kubwa namna hii na ulinzi bora wanapuuzia.shauri yao.
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 1,979 Feb 27, 2014 #3 Simply hawautaki muungano, kila mtu abebe hamsini zake,kwani,kama sisi Tanganyika ndio tunatoa zaidi;ni dhahiri kujitoa kwao ni kuvuja kwa pakacha,nafuu ya mchukuzi!
Simply hawautaki muungano, kila mtu abebe hamsini zake,kwani,kama sisi Tanganyika ndio tunatoa zaidi;ni dhahiri kujitoa kwao ni kuvuja kwa pakacha,nafuu ya mchukuzi!