bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Nimekua nikitafakari kwa nini wazungu roho zao zinaasi kwa kiasi hiki? Mara nyingi hua naangalia chanel inaitwa investigation discovery hua wanaonyesha sana kesi mbalimbali za wazungu kwa mfano;
BTK killer, huyu jamaa alikua ni serial kila aliua watu 10 kwa mfululizo mpaka akaanza kuleta mchezo na polisi na kuwatumia tip mbalimbali.
Mwanaume mmoja huko Kentucky mwaka 1999 aliteka msichana wa miaka 19 na kisa akamuua na kumchoma moto bila sababu yeyoye ile.
Mvulana mmoja alimuua mama wa girlfriend wake kwa kumkata na kisu cha jikoni na kuficha mwili kwenye buti ya gari sababu alikua hapatani(mama) na binti yake.
Ndugu wawili walipanga kuwaua wazazi wao sababu wanampendelea mdogo wao wa mwisho wakajaa wivu wakaua kwa risasi baba na mama yao.
Mama alieachika katika uhusiano uliopita aliwaua watoto wake wawili wadogo kisa boyfriend mpya hataki watoto.
Hiyo ni baadhi tu nikiandika sana ntawachosha kwani mifano mingine mnaijha kama ushoga,usagaji na mengine yanayofanana na hayo.
Sasa inakuaje watu hawa wawe namna hii ukiangalia kwa hatua yao waliofikia kimaendeleo hawakutakiwa wawe hivi au watakua wamelaaniwa?