Kwa nini web ya ajira (moe.go.tz haifunguki muda huu?)

Kwa nini web ya ajira (moe.go.tz haifunguki muda huu?)

tupo tuna feed majina ya ajira za ualimu na matokeo ya form 4 samahanini kwa usumbufu mda si mrefu itarudi on air
 
Si unajua 'technology' yetu ipo ardhini sana! Tunaweka ajira zenu walimu! Itarudi tr 6/2/2013 saa 7 mchana
 
Hi ni aibu haiwezekani sekta nyeti kama hii kuendesha mambo kienyeji.
 
Ajira za ualimu hakuna. Maana hamtaki kwenda vijijini. Tafuteni ajira nyingine. Mkisikia njaa kuleni majani.
 
Oyaa, acha kudanya umati ww, huko PSRS mbona hakuna ki2?????
 
Back
Top Bottom