Jibu mbona ni rahisi tu, CCM ni chama cha mafisadi, na rushwa ni moja ya ufisadi. Wao ndiyo wezi wakubwa wa mali ya umma hivyo wanazo hela za kuhonga.Uongozi wowote ni mzigo, hivi ni mtu gani mwadilifu achukue hela alizozitolea jasho akanunue mzigo wa kuwatumikia watu? Ukweli ni kuwa CCM haitafuti ridhaa ya kuwatumikia watz bali wanatafuta nafasi kuwaibia watz zaidi na zaidi ndiyo maana wanatoa rushwa wakijuwa kuwa wakishapata hizo nafasi basi kazi liyokuwa mbele yao ni kuiba ili kurudisha hele wliyotoa na kuapata faida zaidi kwa kupora zaidi. Hivi watz mnataka muambiweje kuwa wanaotoa rushwa hawana nia njema?