Kwa nini Wizara ya Elimu istandardize matokeo ya kidato cha 4 wakati tume haijamaliza kazi?

Kamura

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2011
Posts
507
Reaction score
52
Nimeshangaa kusikia kwamba tume ya kuchunguza kushuka ufaulu wa kidato cha nne hajamaliza kazi yake na itatoa mapendekezo zaidi ya 130 lakini wakati huohuo tayari Wizara ya Elimu imetangaza kwamba inafanya standardization ya matokeo hayo jambo ambalo ni moja tu ya mapendekezo 130 yanayotarajiwa kutolewa. Kwa nini wasingesubiri mapendekezo yote yatolewe?
 
Hayo mengine yatabakia kwenye vitabu kama historia...hili limekaa kisiasa zaidi na ni rahisi kutekeleza kwani ni jadi yetu kutibu dalili badala ya ugonjwa wenyewe.

Kuna mambo ya kupuuza na kuweka kampung lakini si elimu. Matokeo yake tume itaonekana haikufanya kazi yake ipasavyo.
 
Nimeshangaa kusikia kwamba tume ya kuchunguza kushuka ufaulu wa kidato cha nne hajamaliza kazi yake na itatoa mapendekezo zaidi ya 130 lakini wakati huohuo tayari Wizara ya Elimu imetangaza kwamba inafanya standardization ya matokeo hayo jambo ambalo ni moja tu ya mapendekezo 130 yanayotarajiwa kutolewa. Kwa nini wasingesubiri mapendekezo yote yatolewe?

mda unaenda 2mia brain 2ngeenda lini xul
 
Kweli kabisa mawazo ya warekebishaji wa matokeo na wanafunz waliofanya mitihani ni sawa. Maana wote wanatumia same brain. Nahisi waliofanya mtihan wanamchango wao juu ya njia ya kutatua tatizo.
 
Nimeshangaa kusikia kwamba tume ya kuchunguza kushuka ufaulu wa kidato cha nne hajamaliza kazi yake na itatoa mapendekezo zaidi ya 130 lakini wakati huohuo tayari Wizara ya Elimu imetangaza kwamba inafanya standardization ya matokeo hayo jambo ambalo ni moja tu ya mapendekezo 130 yanayotarajiwa kutolewa. Kwa nini wasingesubiri mapendekezo yote yatolewe?
Ni kwa sababu tunataka walimu na wote walioko kwenye sekta ya elimu wajue yafuatayo MAPEMA;

1. Kwamba kuanzia sasa wasitarajie maboresho ya aina yoyote kuhusu mishahara, nyumba
wala marupurupu kwa kuwa sasa matokeo tutapanga mezani hata wanafunzi wakiandika u.p.u.p.u mtupu

2. Kwamba kuanzia sasa kutangaza matokea kabla wanasiasa hawajayacheki na kuona yana ujiko kisiasa ni marufuku

3. Kwamba kuanzia sasa hakuna mwajiri atakayekuwa na hamu na cheti cha elimu ya tanzania kwa kuwa inaeleweka ni cha kuchonga

4. Kwamba hamna haja tena ya kurekebisha chochote katika miundo mbinu ya elimu kwa kuwa ni kupoteza pesa bure wakati tunaweza tu kupanua goli wanafunzi wakafunga

5. Walimu walie tu na viburi vyao vya migomo baridi hata kama hawafundishi watoto watafaulishwa tuuuu hamna shida
 
Nimeshangaa kusikia kwamba tume ya kuchunguza kushuka ufaulu wa kidato cha nne hajamaliza kazi yake na itatoa mapendekezo zaidi ya 130 lakini wakati huohuo tayari Wizara ya Elimu imetangaza kwamba inafanya standardization ya matokeo hayo jambo ambalo ni moja tu ya mapendekezo 130 yanayotarajiwa kutolewa. Kwa nini wasingesubiri mapendekezo yote yatolewe?
Ni kwa sababu tunataka walimu na wote wlioko kwenye sekta ya elimu wajue yafuatayo Mapema;

1. Kwamba kuanzia sasa wasitarajie maboresho ya aina yoyote kuhusu mishahara, nyumba
wala marupurupo kwa kuwa sasa matokeo tutapanga mezani hata wanafunzi wakiandika u.p.u.p.u mtupu

2. Kwamba kuanzia sasa kutangaza matokea kabla wanasiasa hawajayacheki na kuona yana ujiko kisiasa ni marufuku

3. Kwamba kuanzia sasa hakuna mwajiri atakayekuwa na hamu na cheti cha elimu ya tanzania kwa kuwa inaeleweka ni cha kuchonga

4. Kwamba hamna haja tena ya kurekebisha chochote katika miundo mbinu ya elimu kwa kuwa ni kupoteza pesa bure wakati tunaweza tu kupanua goli wanafunzi wakafunga

5. Walimu walie tu na viburi vyao vya migomo baridi hata kama hawafundishi watoto watafaulishwa tuuuu hamna shida
 
MY VIEWS.

1.mapungufu ya shule za kata,matatizo ya walimu,ukosefu wa vifaa vya kujifunzia,ukosefu wa vitabu,ubovu wa baadhi ya vitabu,mazingira mengi yasiyostahili NI MATATIZO YALIYOKUWA YANAJULIKANA TOKA ZAMANI.pamoja na matatizo haya kukomaa zaidi lakini yalipata ubatizo na kupewa jina la CHANGAMOTO KATIKA SEKTA YA ELIMU

2.wale wenye uelewa na wanaoona mbali WALIONYA MAPEMA JUU YA ANGUKO LA ELIMU baada ya ujio wa shule za kata.hawa nao wakabatizwa na kupewa jina la WAPINGA-MAENDELEO.

4.kuonyesha serikali ni kiasi gani waliwabeza zaidi wakosoaji wa shule za kata WALITAFTA WANAFUNZI wa shule za kata waliofaulu vizuri KWA KUTUMIA JITIHADA ZAO BINAFISI NA ZA ZIADA,WAKAWAFANYA MAONYESHO BUNGENI,na kuwabeza wale wote waliokosoa.

KIMSINGI HAWAKUTAKA KUSHUGULIKIA MATATIZO HAYA.

KUPANGA UPYA MATOKEO.
hakuna lengo jingine zaidi ya kupoza hasra za watanzania na kuwaaminisha kuwa HAKUKUWA NA TATIZO JINGINE ZAIDI LILE LA KUPANGA MATOKEO.
 
Ni kwa sababu tunataka walimu na wote wlioko kwenye sekta ya elimu wajue yafuatayo Mapema;
1. Kwamba kuanzia sasa wasitarajie maboresho ya aina yoyote kuhusu mishahara, nyumba
wala marupurupo kwa kuwa sasa matokeo tutapanga mezani hata wanafunzi wakiandika u.p.u.p.u mtupu
2. Kwamba kuanzia sasa kutangaza matokea kabla wanasiasa hawajayacheki na kuona yana ujiko kisiasa ni marufuku
3. Kwamba kuanzia sasa hakuna mwajiri atakayekuwa na hamu na cheti cha elimu ya tanzania kwa kuwa inaeleweka ni cha kuchonga
4. Kwamba hamna haja tena ya kurekebisha chochote katika miundo mbinu ya elimu kwa kuwa ni kupoteza pesa bure wakati tunaweza tu kupanua goli wanafunzi wakafunga
5. Walimu walie tu na viburi vyao vya migomo baridi hata kama hawafundishi watoto watafaulishwa tuuuu hamna shida

Umetiririka mkuu
 
Back
Top Bottom