Nimeshangaa kusikia kwamba tume ya kuchunguza kushuka ufaulu wa kidato cha nne hajamaliza kazi yake na itatoa mapendekezo zaidi ya 130 lakini wakati huohuo tayari Wizara ya Elimu imetangaza kwamba inafanya standardization ya matokeo hayo jambo ambalo ni moja tu ya mapendekezo 130 yanayotarajiwa kutolewa. Kwa nini wasingesubiri mapendekezo yote yatolewe?
Kuna mambo ya kupuuza na kuweka kampung lakini si elimu. Matokeo yake tume itaonekana haikufanya kazi yake ipasavyo.Hayo mengine yatabakia kwenye vitabu kama historia...hili limekaa kisiasa zaidi na ni rahisi kutekeleza kwani ni jadi yetu kutibu dalili badala ya ugonjwa wenyewe.
Nimeshangaa kusikia kwamba tume ya kuchunguza kushuka ufaulu wa kidato cha nne hajamaliza kazi yake na itatoa mapendekezo zaidi ya 130 lakini wakati huohuo tayari Wizara ya Elimu imetangaza kwamba inafanya standardization ya matokeo hayo jambo ambalo ni moja tu ya mapendekezo 130 yanayotarajiwa kutolewa. Kwa nini wasingesubiri mapendekezo yote yatolewe?
mda unaenda 2mia brain 2ngeenda lini xul
Ni kwa sababu tunataka walimu na wote walioko kwenye sekta ya elimu wajue yafuatayo MAPEMA;Nimeshangaa kusikia kwamba tume ya kuchunguza kushuka ufaulu wa kidato cha nne hajamaliza kazi yake na itatoa mapendekezo zaidi ya 130 lakini wakati huohuo tayari Wizara ya Elimu imetangaza kwamba inafanya standardization ya matokeo hayo jambo ambalo ni moja tu ya mapendekezo 130 yanayotarajiwa kutolewa. Kwa nini wasingesubiri mapendekezo yote yatolewe?
Ni kwa sababu tunataka walimu na wote wlioko kwenye sekta ya elimu wajue yafuatayo Mapema;Nimeshangaa kusikia kwamba tume ya kuchunguza kushuka ufaulu wa kidato cha nne hajamaliza kazi yake na itatoa mapendekezo zaidi ya 130 lakini wakati huohuo tayari Wizara ya Elimu imetangaza kwamba inafanya standardization ya matokeo hayo jambo ambalo ni moja tu ya mapendekezo 130 yanayotarajiwa kutolewa. Kwa nini wasingesubiri mapendekezo yote yatolewe?
Ni kwa sababu tunataka walimu na wote wlioko kwenye sekta ya elimu wajue yafuatayo Mapema;
1. Kwamba kuanzia sasa wasitarajie maboresho ya aina yoyote kuhusu mishahara, nyumba
wala marupurupo kwa kuwa sasa matokeo tutapanga mezani hata wanafunzi wakiandika u.p.u.p.u mtupu
2. Kwamba kuanzia sasa kutangaza matokea kabla wanasiasa hawajayacheki na kuona yana ujiko kisiasa ni marufuku
3. Kwamba kuanzia sasa hakuna mwajiri atakayekuwa na hamu na cheti cha elimu ya tanzania kwa kuwa inaeleweka ni cha kuchonga
4. Kwamba hamna haja tena ya kurekebisha chochote katika miundo mbinu ya elimu kwa kuwa ni kupoteza pesa bure wakati tunaweza tu kupanua goli wanafunzi wakafunga
5. Walimu walie tu na viburi vyao vya migomo baridi hata kama hawafundishi watoto watafaulishwa tuuuu hamna shida