Kwa nini Yanga isiifunge Polisi leo?

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
Kwa nini yanga isiifunge polisi?
==============================

ikiwa baraza la waamuzi limemfungia mwamuzi aliyechezesha mechi kati ya yanga na jkt ya masau bwire kwa shinikizo la yanga je kuna refa atakaepona pindipo yanga ikipata matokeo isiyotarajia?

Je mwamuzi atakaechezesha mechi ya leo yanga na polisi anaweza kukataa goli la mkono la yanga?

Hivi itakuwaje pindipo yanga inaongoza goli 1-0 dk 86 na yondani anaudaka mpira ndani ya eneo lake la 18 refa atatoa penati kweli?

Cha ajabu refa kafungiwa kabla ya ripoti ya kamisaa na wao walisema wanasubiri ripoti ya kamisaa.

Yani hapa ni wazi kabisa yanga ishatengenezewa mazingira ya ushindi kwa maana refa atachezesha kwa lengo la kulinda kazi yake yani hakuna anaekubali kupoteza kazi katika maisha haya sasa.

Via : Ipo siku itajirudia
 
Mikia mmeanza kuweweseka.inamaana mwamuzi akiboronga asipewe adhabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…