Uraisi ni wa Lowassa
Urais ni wa Magufuli
Hongereeni sana waheshimiwa.
Hakuna mtu yeyote anayeweza kunidhibiti bwana mdogo, hebu angalia Profile yangu hapo juu ndiyo utagundua tofauti kubwa iliyopo kati yangu na nyie wabwatukaji mliongia juzi humu.Hawa mapimbi wameona Yanga timu ya wananchi na ndio timu yenye mashabiki wengi kuliko timu zote Tanzania wanataka kuitumia kama gia ya kutafutia wanachama wa vyama vyao vya siasa. Hii ni thread ya Tano kwa siku ya leo inayohusisha yanga na maswala ya siasa, wametumwa wapite kila jukwaa kuleta huu upumbavu wao. Tuachieni Yanga yetu kama kweli wameudhika WANGEANZA NA MGOSI ALIYEVAA JEZI ZA CHAMA CHAO HUKU KASHIKA PICHA ZA MGOMBEA WA CHAMA CHA KIJANI NA NJANO.
Moderators msiruhusu hawa watu watuletee siasa katika michezo jukwaa la michezo ndio jukwaa tulivu kuliko yote humu JF tunaomba muwadhibiti kama mlivyomdhibiti ndugu yake na sembo aliyekuwa anaitwa grafani11
Hiyo timu Wassira imelala inasubiri kupata amri kutoka mashabiki wenzao wa Yanga ndiyo iamke ifanye kazi ya kudeal na washabiki wa timu pinzaniSTREET SMART ana thread kule Jukwaa la uchaguzi kichwa cha thread ni (kumbe yanga ni tawi la ccm nimeamua kujitoa rasmi kusapoti leo )
mcfm40 ana thread jukwaa la michezo kichwa cha thread ni (kwanini yanga mumeamua kututesa mashabiki wenu)
STREET SMART ana thread tena jukwaa la michezo kichwa cha thread ( kumbe ni kweli yanga ni CCM..Nimejitoa rasmi kuisapoti leo)
Huyu ni mtu mmoja ambaye analeta siasa na kampeni za kijinga JF.
cc: Paw, Invisible and Moderator unganisheni hizi thread, zifuteni au pelekeni kunakohusika.
JF imeingiliwa Mimoderator imelala
Hakuna mtu yeyote anayeweza kunidhibiti bwana mdogo, hebu angalia Profile yangu hapo juu ndiyo utagundua tofauti kubwa iliyopo kati yangu na nyie wabwatukaji mliongia juzi humu.
Kinachofanya wakongwe wengi humu wapotee ni JF kupoteza mvuto iliyokuwa nayo hapo kabla baada ya kuvamiwa na wabwatukaji kama wewe.
Social Media zenye kujitambua zimekuwa nyingi sio lazima kushinda humu na watoto wadogo kama wewe nadhani umenipata.
Ahsante Najua Unaipenda sana JF ila BAN zinakupenda zaidi. kuwa kwako kimya sio kuwa eti jf imejaa wabwatukaji sema huwa unachezea BAN za mara kwa mara ndio maana huwa huonekani. Jaribu kuchange tabia ili uendane na wenzano, unamsikitisha sana Mikia wenzako hasa bwana sembo
Ahsante Najua Unaipenda sana JF ila BAN zinakupenda zaidi. kuwa kwako kimya sio kuwa eti jf imejaa wabwatukaji sema huwa unachezea BAN za mara kwa mara ndio maana huwa huonekani. Jaribu kuchange tabia ili uendane na wenzano, unamsikitisha sana Mikia wenzako hasa bwana sembo
Mimi ni Yanga damu, nimekuwa naipenda Yanga tangu utotoni. na ilifika mahali Yanga ikifungwa hata chakula siwezi kula. Sasa mdudu wa siasa ameingilia klabu yetu. Yanga imeonesha waziwazi kuwa upande wa CCM na hata cannavaro alionekana uwanjani akionesha bango la Magufuli.
Sasa sisi mashabiki damu inatuwia ngumu sana. Najisikia ugumu mkubwa sana kushabikia kwa mgfano samba kwa sababu naichukia sana tangu utotoni. hebu fikiria shabiki wa man U eti ahamie man city. Ngumu kumesa. sasa tuuombe uongozi wa Yanga uwe makini kwa sababu mtatupoteza mashabiki wenu! Mnatuumiza sana mnapotulazimisha tushindwe kuipenda timu yetu kwa sababu mmeamua kujihusisha moja kwa moja na ccm chama tunachokichukia km ukoma. Wengine wetu ni heri kuacha kuishabikia Ynaga kuliko kuhusishwa na ccm. Mfano tukifungwa mashabiki wa samba wamekuwa wakiimba ccm, ccm, ccm. Inakera sana. ndugu zangu wanamichezo hebu nisaidieni nifanyeje? Eddo kumwembe, shafii dauda, Ezekiel kamwaga, na wengineo, nifanyeje ? Sipendi timu yangu ijiusishe na CCM. Pia natamani ynaga wabadili jezi zao aidha wavae gold na nyesui pekee, au kijani tupu na nyeusi. ili kuondoa ile rangi ya bendera ya ccm!
Nimekusamehe bure kibabu cha marekani. I know sio wewe huyo ila ni stress za maisha. Kurudi home na kuanza upya si utumwa pole sana.
USA USA USA USA USA BABY HUKU UNAKUFA NA TAI SHINGONI.
Wenzako walio state sasahivi miguu juu kula raha wewe kutwa JF Pole sana. Ushapotea ila liwe funzo hakikisha utakaowaacha hawarudii makosa uliyofanya
Nimekusamehe bure kibabu cha marekani. I know sio wewe huyo ila ni stress za maisha. Kurudi home na kuanza upya si utumwa pole sana.
USA USA USA USA USA BABY HUKU UNAKUFA NA TAI SHINGONI.
Wenzako walio state sasahivi miguu juu kula raha wewe kutwa JF Pole sana. Ushapotea ila liwe funzo hakikisha utakaowaacha hawarudii makosa uliyofanya
Hahahaaaaaaaaaa...unadhani zikikupenda wewe zaidi basi ni kila mtu. Pumzika kwa amani huko kuzimu ulikopelekwaAhsante Najua Unaipenda sana JF ila BAN zinakupenda zaidi. kuwa kwako kimya sio kuwa eti jf imejaa wabwatukaji sema huwa unachezea BAN za mara kwa mara ndio maana huwa huonekani. Jaribu kuchange tabia ili uendane na wenzano, unamsikitisha sana Mikia wenzako hasa bwana sembo
Bwana mdogo umepata stahiki yako, umevutwa ukaingia kwenye 18 mzimamzima kama boya. Pumzika huko ulipo ukirudi utakuwa umejifunza adabu kwa wakubwa zako.