kwa NINI?

kwa NINI?

Mwanakili90

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
1,568
Reaction score
245
wanajamvi hivi ni kwa nini wanaume huwa tunafarijika sana tunapogundua wanawake tuliowai lalana nao,wanatangaza ya kuwa Tunajua sana mapenzi,hata kuwavutia marafk zao kutamani kuwa na mahusino na sisi? Nawasilisha.
 
Nafikiri jibu unalo" ukisikia hao wanawake wanasema wewe sio riziki utajisikiaje"? naomba kuwasilisha pia.
 
Swali halijbiwi kwa swali nadhani ungejbu swali la msingi.au unaitaji mungozo?
 
Hao ni wasichana wadogo wasiojua maana, umsifie kihivyo bwana anaekupa raha akichukuliwa utalia na nani?
 
Back
Top Bottom