Ni kwanini unapomuhitaji mtu kwa siku za husoni unakuwa karibu sana na yeye then baada ya muda unaanza kuwa bize? Mara unaanza kuwa bize,simu zake hupokei,visingizio vingi,mara hili mara ile?ili mradi tu uwe mbali nae,sasa SIJUI NI KWAMBA MTU ANAPANGA AMA NDO INATOKEA TU?