Kwa nini?

hivi kwanini napotongoza mwanamke napata shida kumfukuzia halafu nikishampata,nikilala nae nimpe hela wakati raha tunapata wote?kwanini?
Hapo kwa red, wewe ulitaka umpe nini? Au unadhani alikuja kwako kupata raha? Hawa mabinti wa kileo huwa hawafuati raha, ni fweza tu man.
 
jukwaa ili nyodo nyingi bahati nzuri ASHADII kachangia hapo mwanzo tofauti na hapo sijui ingekuaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…