HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,567
dah nae ana mind sana barmaid c wakupita tu, au alikuwa anaboreka apendi mpira?Hivi HP unafikiri kuna ambae hapendi kutoka na " Mama ya boma" ? Twapenda mno! Lakini baaba wanizungua si polepole na siajabu mkarudi hom kwa usafiri tofauti. Mf last wik tuko katikati ya Mechi Real madrid Vs Vilarial mwenzetu kaja na wf wake, mara tunamsikia Shem kamkomalia jamaa mi nirudishe hom tena kwa mikelele jamaa nae anamwambia mi siondoki huu mpira wa leo nimeupania. Mimi nikaenda kumpoza Shem nijui na chanzo cha tatizo, Shem ananiambia tatizo Barmaid alikua anamrembulia macho jamaa ! Hapo chacha!
dah nae ana mind sana barmaid c wakupita tu, au alikuwa anaboreka apendi mpira?
Mke si umeshamzoea sasa yanini kufatanafatana wakati yupo tu... Unajua kubanana sana inapunguza mapenzi....
Mgagaa na wali hali upwa mkavu! Hilo libaba usiliache yanajua kupenda na kuhudumia bilivu mi !Hata ww jaman! tabia mbaya io. unadhan mkeo hapend kutoka na ww anapenda sana sema nyie mnawakwepa ka ukoma mnatoka na vi escot vya mtaan. mh kwel badiriken jaman muanze kujali wake zenu sio fresh wanaumia bs tu. me mwenyewe kuna libaba tunafanya nalo kaz juz likaniomba tukachek match ya man city n arsenal nikajb si utoke na mkeo! yukoje dah.
Mgagaa na wali hali upwa mkavu! Hilo libaba usiliache yanajua kupenda na kuhudumia bilivu mi !
mhh we nawe mi mbona natoka nae na mapenz hayapunguiMke si umeshamzoea sasa yanini kufatanafatana wakati yupo tu... Unajua kubanana sana inapunguza mapenzi....
mimi mke wangu anachoniuzi kutoka naye ni marangi ya machoni anakuwa kama ana tongotongo afu nikimwambia mbishi kama nini.
Bora nimpe hela aende mwenyewe
mm wangu raha 2, sometym romance mpka kwenye gar, 2na miaka 7 lakn ndo km yestaday!