kwa nini

watu wengi huita girlfriends au boyfriends zao wachumba?
Mkuu, naona ungeendelea tu kutilia mkazo suala lako la kutafuta kazi ingekusaidia zaid- kupata ajira mjini hapa kazi!
 
kwani wakiwaita honey ndo watageuka kuwa asali? Hayo ni majina tu ya kimahaba kutokana na kuzoeana kwao na namna wanavyoitana, au kuappreciate au hata kuzuga...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…