chaka wa chaka
Member
- Jul 6, 2014
- 9
- 1
Jana nilipita mtaa flani hapa dar nikakuta makahaba wakijiuza nikashindwa kuwatofautisha na wadada zangu vyuoni jinsi walivyovaa. sasa bodi imegoma mpaka Leo msomi mdada kutumika na bodaboda kwa chips jioni na chai monie na pasi ndefu mchana inashindkana? kwa masela kutumika kisiasa acha mbali mashuga mamy inashindkana?.
serikal ya kipuuuzi hii na raisi anayejitetea bila sababu mnawatesa wasomi wenuu jamaniii!
serikal ya kipuuuzi hii na raisi anayejitetea bila sababu mnawatesa wasomi wenuu jamaniii!