Kwa nn mashindano ya miss tanzania yamepoteza mvuto...

Kwa nn mashindano ya miss tanzania yamepoteza mvuto...

Hashm

Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
47
Reaction score
15
Miaka ya tisini ..ilikuwa ukisikia miss tz yaan ni bonge la event..lakn tangu kipindi cha kina richa adhia kama sio kadhia things zime fall apart....kw mfano binafsi cmjui miss tz wa mwaka jana....jaman wadau nn tatzo ??
 
Tumechoka kuona vipichu..cku hzi hata mtaan unaona bure tu..hapo zaman kuiona utata???
 
Mhhh we nawe kadari una makubwa..vipuchu ndo nn
 
Back
Top Bottom