Hashm Member Joined Mar 27, 2012 Posts 47 Reaction score 15 May 28, 2013 #1 Miaka ya tisini ..ilikuwa ukisikia miss tz yaan ni bonge la event..lakn tangu kipindi cha kina richa adhia kama sio kadhia things zime fall apart....kw mfano binafsi cmjui miss tz wa mwaka jana....jaman wadau nn tatzo ??
Miaka ya tisini ..ilikuwa ukisikia miss tz yaan ni bonge la event..lakn tangu kipindi cha kina richa adhia kama sio kadhia things zime fall apart....kw mfano binafsi cmjui miss tz wa mwaka jana....jaman wadau nn tatzo ??
kidadari JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 8,647 Reaction score 9,604 May 28, 2013 #2 Tumechoka kuona vipichu..cku hzi hata mtaan unaona bure tu..hapo zaman kuiona utata???
Hashm Member Joined Mar 27, 2012 Posts 47 Reaction score 15 May 28, 2013 Thread starter #3 Mhhh we nawe kadari una makubwa..vipuchu ndo nn