kwa nn ninakuwa na hivi.

kwa nn ninakuwa na hivi.

Jannet

Member
Joined
Jul 23, 2015
Posts
27
Reaction score
5
habari wandugu.

Madaktari naomba msaada. Nina ujauzito wa miezi miwili,nashangaa ninahamu ya kufanya mapenzi isivyo kawaida. nakuwa natamani muda mwingi kufanya tendo LA ndoa. Je ni tatizo pls help
 
Nahisi homoni zimezidi we fanya haina madhara.
 
Basi endelea kufurahi ndoa yako wala usijibane bane huu ndio wakati muafaka
 
Huyo mtoto akiwa wa kiume atakuwa play boy sana na ikiwa ni binti atakuwa mcharuko hadi useme poo!
 
Watu wengine mmebarikiwa sana,
Na huo ndio wakati muafaka wakuclear all ure mistakes kwa hubby wako...haina madhara tumia iyo golden chance
 
Haina madhara hata wife alipokuwa na mimba alikuwa kama wewe mwachie mr agonge ngozi ipasavyo
 
je ukisex unafika?
hormones zinaongezeka but isije pia na sex yenyewe weak
 
Jannet, ukishajifungua tu hamu yote itakatika, yaani hutahitaji tena kufanya tendo la ndoa tena - zingatia maneno haya, si ya tafiti za kitaaluma bali ni uzoefu wangu wa miaka mingi na nyinyi wanawake.
 
Mimba yako ni mtoto wa kike. Angalikuwa wa kiume hata huyo husband wako usingependa asogee karibu
 
Back
Top Bottom