Madaktari naomba msaada. Nina ujauzito wa miezi miwili,nashangaa ninahamu ya kufanya mapenzi isivyo kawaida. nakuwa natamani muda mwingi kufanya tendo LA ndoa. Je ni tatizo pls help
Jannet, ukishajifungua tu hamu yote itakatika, yaani hutahitaji tena kufanya tendo la ndoa tena - zingatia maneno haya, si ya tafiti za kitaaluma bali ni uzoefu wangu wa miaka mingi na nyinyi wanawake.