Kwa Nujumu ( Tabiri za Kiuchawi ) nilizoziona leo nawaomba wana Yanga SC wenzangu Kesho wote tubaki tu Nyumbani tusiende Uwanjani tunafungwa nyingi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kama Wewe ni mwana Yanga SC mwenzangu basi nakuomba haraka sana mwambie mwana Yanga SC mwenzako popote pale alipo kuwa mpaka hivi sasa nimetoka Kuangalia Nujumu ( Tabiri ) za Kiuchawi zinasema kuwa Kesho Yanga SC inafungwa Goli nyingi na Zesco United hivyo wana Yanga SC wote msipoteze muda wenu kwenda Uwanjani na wale ambao labda mpo safarini sasa kuja Dar es Salaam geuzeni tu hapo mlipo mrudi Kwenu huko Mikoani.

Msiseme sikuwaambieni. Shauri zenu!

Tuungane Kuung'oa Madarakani huu Uongozi wetu wa Yanga SC na kama wakikataa basi wana Yanga SC wote tuhamie zetu Simba SC.
 
Hivi wew jamaa sijui kwa nini hukuwepo pale msamvu
 

Weweni mwanasimba...unafanya propaganda na hujuma dhidi ya Yanga....
 
insane!
 
Give us a break Genta, Cleverbright.
 
Kwa nini unateseka hivi? Taabu yote hii kasababisha UD Songombingo.
 
Kuja dar au kwenda dar?
Kwani upo mikocheni leo au upo lilongwe?
Mbona unakuwa mlozi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…