Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,207
- 17,674
Jaji Wa Mahakama Kuu anashangaa aina ya Hukumu iliyoandikwa na Mhe. Odira ambyo ilikuwa haina Hata Legal Citation Wala Case Authority Kujenga hoja yake.
.
Jaji anasema Hukumu yoyote Ambayo Haina Case Authority au Legal Citation Hyo Sio Hukumu Bali ni Mawazo binafsi ya Mwandika Hukumu
.
Jaji anasema Hukumu yoyote Ambayo Haina Case Authority au Legal Citation Hyo Sio Hukumu Bali ni Mawazo binafsi ya Mwandika Hukumu