"KWA PAMOJA SEMA HAPANA JKT,(Masomo kwanza JKT Baadae)"

Daud omar

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
2,458
Reaction score
983
Habari zenu wandugu

"DOOM HAINA MSHINDO"

--Moja kwa moja kwenye maada husika, unajua katika hi nchi kuna watu wapo kwajili ya kuwapotezea wenzao muda kutokana na kutoka kuwajibika kwao, hebu tufikirie na kutafakari kunavyuo vikuu tayari vimefungua na wanafunzi wamesharipoti na tayari wamaeanza kulipia baadhi ya malipo kama vile ada, pango la nyumba kwa wale waliokosa hosteli na pia wametumia nauli zao wakitokea sehemu mbali mbali za nchi yetu,

Na kuna vyuo vyengine vimetangaza vitafungua mapema mwezi ujao, kwahyo wanafunzi tayari wameshatumia gharama zao kwa maandalizi ya kujiunga na vyuo hivyo,

--Sio kama tunapinga amri ya jeshi tunajua wao ndio wenye mamlaka na uamuzi wa juu katika nchi, tunawaheshimu, tunawashkuru kwa kutulinda sisi na amani yetu na daima tutakuwa watiifu kwenu.

--Sasa kutokana na taarifa iliyotoka kutoka Jeshi la kujenga taifa (JKT) na sis wanafunzi pia tunatakiwa kutoa tamko letu amblo kwa sasa ni HAPANA JKT alfu sema masomo kwanza JKT Baadae...

---KWA PAMOJA TUNAWEZ
 

kwa pamoja
 
ACHENI UBWEGE,,NENDENI JKT,,kugoma ni vizuri lakn effect yake mimi na wewe na yule hatuijui,,JKT GO GO GO
 
ACHENI UBWEGE,,NENDENI JKT,,kugoma ni vizuri lakn effect yake mimi na wewe na yule hatuijui,,JKT GO GO GO

Nani -----? mkuu tunakustahi na nani amesema amegoma, sis tunajaribu kutoa mawazo yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…