kwa papaaa zahera, mazembe vs as vita ni vichekesho

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
mwingine anaweza kusema labda kwa kinshasa as vita vs dc motema pembe ndiyo mechi kubwa lakini hapana asiee sisi tunajua as vita na mazembe ndizo teams kubwa congo..sasa angalia attendance ya hii mechi yao ya jana ila ukimsikia papaa zahera anavyokandia ligi ya bongo na kutoa mifano ya congo, utadhani huko congo ni mbinguni
mechi kubwa mahudhurio KISODA. picha nyingine ni kiwanja cha ajabu kabisa cha ligi kuu huko kwa ppaa zahera ambaye alishawahi kusema makusu hawezi kuja bongo sababu viwanja vibovu
viuuuu.PNG
vitee.PNG
 
Hujui kwamba Kongo ni nchi ya tatu Kwa umaskini Duniani
 
Unamaanisha huyu Zuhura wa vyura?
 
mwingine anaweza kusema labda kwa kinshasa as vita vs dc motema pembe ndiyo mechi kubwa lakini hapana asiee sisi tunajua as vita na mazembe ndizo teams kubwa congo..sasa angalia attendance ya hii mechi yao ya jana ila ukimsikia papaa zahera anavyokandia ligi ya bongo na kutoa mifano ya congo, utadhani huko congo ni mbinguni
mechi kubwa mahudhurio KISODA. picha nyingine ni kiwanja cha ajabu kabisa cha ligi kuu huko kwa ppaa zahera ambaye alishawahi kusema makusu hawezi kuja bongo sababu viwanja vibovu
View attachment 1077682View attachment 1077690
Mimi siuatiliagi akilini maneno yake tena labda nyie mnaoyahifadhi
 
Nawe umechanganya mada, timu Viwanja tofauti ili tu kumsema Zahera.
Hali ya raia wa DRC kiuchumi kuujaza huo uwanja ni changamoto licha ya kupenda mpira.
 
SIJACHANGANYA,kiwanja hicho kama cha ndondo ni kuonyesha uongo wa papaa zahera,kipindi simba wanaonyesha nia ya kumsajili jean makusu alisema hawezi kuja tz sababu ya mshahara na viwanja vyetu ni vibovu,ona sasa hicho kiwanja cha ndondo na makusu kacheza hapo
 
mwingine anaweza kusema labda kwa kinshasa as vita vs dc motema pembe ndiyo mechi kubwa lakini hapana asiee sisi tunajua as vita na mazembe ndizo teams kubwa congo..sasa angalia attendance ya hii mechi yao ya jana ila ukimsikia papaa zahera anavyokandia ligi ya bongo na kutoa mifano ya congo, utadhani huko congo ni mbinguni
mechi kubwa mahudhurio KISODA. picha nyingine ni kiwanja cha ajabu kabisa cha ligi kuu huko kwa ppaa zahera ambaye alishawahi kusema makusu hawezi kuja bongo sababu viwanja vibovu
View attachment 1077682View attachment 1077690
Mti wenye matunda ndio husakamwa kwa kurushiwe mawe!
 
Bebeni klabu bingwa kwa mafuriko yenu tuone
 
Uchumi mgumu huko Drc ndio maana wahudhuriaji wa mechi wachache.
 
SIJACHANGANYA,kiwanja hicho kama cha ndondo ni kuonyesha uongo wa papaa zahera,kipindi simba wanaonyesha nia ya kumsajili jean makusu alisema hawezi kuja tz sababu ya mshahara na viwanja vyetu ni vibovu,ona sasa hicho kiwanja cha ndondo na makusu kacheza hapo
Sasa alicho ongopa Zahera ni kitu gani? Makusu hawezi kucheza bongo kwasasa labda baada ya miaka 15 ijayo. Kuhusu viwanja nikweli asilimia kubwa viwanja vyetu vibovu na Kiwango cha Mpira cha DRC hatulingani nacho.
 
Back
Top Bottom