nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Mimi siuatiliagi akilini maneno yake tena labda nyie mnaoyahifadhimwingine anaweza kusema labda kwa kinshasa as vita vs dc motema pembe ndiyo mechi kubwa lakini hapana asiee sisi tunajua as vita na mazembe ndizo teams kubwa congo..sasa angalia attendance ya hii mechi yao ya jana ila ukimsikia papaa zahera anavyokandia ligi ya bongo na kutoa mifano ya congo, utadhani huko congo ni mbinguni
mechi kubwa mahudhurio KISODA. picha nyingine ni kiwanja cha ajabu kabisa cha ligi kuu huko kwa ppaa zahera ambaye alishawahi kusema makusu hawezi kuja bongo sababu viwanja vibovu
View attachment 1077682View attachment 1077690
Lakini FIFA ranking ya 46 kapitwa na Senegal, Tunisia, Nigeria na Morocco tu.. Ndani ya Africa .Hujui kwamba Kongo ni nchi ya tatu Kwa umaskini Duniani
Mti wenye matunda ndio husakamwa kwa kurushiwe mawe!mwingine anaweza kusema labda kwa kinshasa as vita vs dc motema pembe ndiyo mechi kubwa lakini hapana asiee sisi tunajua as vita na mazembe ndizo teams kubwa congo..sasa angalia attendance ya hii mechi yao ya jana ila ukimsikia papaa zahera anavyokandia ligi ya bongo na kutoa mifano ya congo, utadhani huko congo ni mbinguni
mechi kubwa mahudhurio KISODA. picha nyingine ni kiwanja cha ajabu kabisa cha ligi kuu huko kwa ppaa zahera ambaye alishawahi kusema makusu hawezi kuja bongo sababu viwanja vibovu
View attachment 1077682View attachment 1077690
Bebeni klabu bingwa kwa mafuriko yenu tuonemwingine anaweza kusema labda kwa kinshasa as vita vs dc motema pembe ndiyo mechi kubwa lakini hapana asiee sisi tunajua as vita na mazembe ndizo teams kubwa congo..sasa angalia attendance ya hii mechi yao ya jana ila ukimsikia papaa zahera anavyokandia ligi ya bongo na kutoa mifano ya congo, utadhani huko congo ni mbinguni
mechi kubwa mahudhurio KISODA. picha nyingine ni kiwanja cha ajabu kabisa cha ligi kuu huko kwa ppaa zahera ambaye alishawahi kusema makusu hawezi kuja bongo sababu viwanja vibovu
View attachment 1077682View attachment 1077690
hivi huyu mzee zahera kafundisha team gani ulaya kama anavyojisifuUchumi mgumu huko Drc ndio maana wahudhuriaji wa mechi wachache.
Sasa alicho ongopa Zahera ni kitu gani? Makusu hawezi kucheza bongo kwasasa labda baada ya miaka 15 ijayo. Kuhusu viwanja nikweli asilimia kubwa viwanja vyetu vibovu na Kiwango cha Mpira cha DRC hatulingani nacho.SIJACHANGANYA,kiwanja hicho kama cha ndondo ni kuonyesha uongo wa papaa zahera,kipindi simba wanaonyesha nia ya kumsajili jean makusu alisema hawezi kuja tz sababu ya mshahara na viwanja vyetu ni vibovu,ona sasa hicho kiwanja cha ndondo na makusu kacheza hapo
Bange zinakufanya kazjZahera anafaa zaid usemaji wa club sio ukocha