Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,271
- 2,903
Hili ni jambo ambalo nmekuwa nikijiiuliza sana.bwana yusufu manji pesa anazo na sasa yanga anaiendesha vile atakavyo.yeye ndiye msemaji wa kwanza na wa mwisho. Tunamshukuru kwa kweli.
Leo kwenye mkutano aliulizwa baada ya kusema kuwa ataishikiria team kwa miaka 10 na kuwapa faida ya 25% wanayanga.
Mdau mmoja akaomba hizo pesa zitumike kujengea uwanja. Manji alishindwa la kujibu.alilikwepa hilo pendekezo ambalo ndilo lilikuwa jambo jema kabisa la kuisaidia yanga kuliko kupoteza pesa nying tu kuhakikisha inapata ubingwa kwa hali yoyote.
Je mnajua siri za klabu walivujisha wanachama waliofukuzwa? Ni ngumu sana team zetu kuendelea michezo ya kimataifa kwa style hii.