Kijogoodi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 1,362
- 2,373
Waliokuwa wanajiuliza ni kwa nini waziri mkuu Kassim Majaliwa mara tu baada ya kumaliza msiba wa hayati rais Magufuli alifanya ziara ya kutembelea bandarini, daraja la kigongo busisi, SGR na bwawa la kufua umeme la Mwl Nyerere na kuwahakikishia watanzania kuwa miradi hiyo iko salama na itaendelezwa kwa kasi na yeyote anayepotosha kwamba miradi hiyo haifai na iachwe apewe fursa ya kutembelea miradi hiyo na kujionea maendeleo badala ya kukaa na kupotosha wananchi, picha hii hapa chini itawafundisha jambo.
Kwa picha hii hapa itakuwa ni vigumu kwa Kassim Majaliwa kumsaliti hayati rais Magufuli.
View attachment 1852590
Kwa picha hii hapa itakuwa ni vigumu kwa Kassim Majaliwa kumsaliti hayati rais Magufuli.
View attachment 1852590