Waliokuwa wanajiuliza ni kwa nini waziri mkuu Kassim Majaliwa mara tu baada ya kumaliza msiba wa hayati rais Magufuli alifanya ziara ya kutembelea bandarini ,daraja la kigongo busisi, SGR na bwawa la kufua umeme la mwl Nyerere na kuwahakikishia watanzania kuwa miradi hiyo iko salama na itaendelezwa kwa kasi na yeyote anayepotosha kwamba miradi hiyo haifai na iachwe apewe fursa ya kutembelea miradi hiyo na kujionea maendeleo badala ya kukaa na kupotosha wananchi, picha hii hapa chini itawafundisha jambo.
Kwa picha hii hapa itakuwa ni vigumu kwa Kassim Majaliwa kumsaliti hayati rais Magufuli.
View attachment 1852590
Msiwe mna click kwenye link ovyo ovyo,mingine ni mitego ya kuwawekea virus kwenye simu zenu
Watajuana wenyewe na marehemuWaliokuwa wanajiuliza ni kwa nini waziri mkuu Kassim Majaliwa mara tu baada ya kumaliza msiba wa hayati rais Magufuli alifanya ziara ya kutembelea bandarini ,daraja la kigongo busisi, SGR na bwawa la kufua umeme la mwl Nyerere na kuwahakikishia watanzania kuwa miradi hiyo iko salama na itaendelezwa kwa kasi na yeyote anayepotosha kwamba miradi hiyo haifai na iachwe apewe fursa ya kutembelea miradi hiyo na kujionea maendeleo badala ya kukaa na kupotosha wananchi, picha hii hapa chini itawafundisha jambo.
Kwa picha hii hapa itakuwa ni vigumu kwa Kassim Majaliwa kumsaliti hayati rais Magufuli.
View attachment 1852590
KabisaHii Thread itupwe jukwaa la Picha.
Inaelezea nini hii picha?
Waliokuwa wanajiuliza ni kwa nini waziri mkuu Kassim Majaliwa mara tu baada ya kumaliza msiba wa hayati rais Magufuli alifanya ziara ya kutembelea bandarini ,daraja la kigongo busisi, SGR na bwawa la kufua umeme la mwl Nyerere na kuwahakikishia watanzania kuwa miradi hiyo iko salama na itaendelezwa kwa kasi na yeyote anayepotosha kwamba miradi hiyo haifai na iachwe apewe fursa ya kutembelea miradi hiyo na kujionea maendeleo badala ya kukaa na kupotosha wananchi, picha hii hapa chini itawafundisha jambo.
Kwa picha hii hapa itakuwa ni vigumu kwa Kassim Majaliwa kumsaliti hayati rais Magufuli.
View attachment 1852590
Ilikua mistake,kupandisha viongozi wakuu ndani ya ndege moja,ikipatikana ajali,janga kubwa
AisehIlikua mistake,kupandisha viongozi wakuu ndani ya ndege moja,ikipatikana ajali,janga kubwa
Kweli kabisaUkikaa unafanya jambo Fulani kwa mda mrefu kwa kurudia rudia,, Hilo jambo linakaa moyoni na linakuwa Imani.
Majaliwa ameshafanya mambo na maamuzi ya aina moja chini ya Jemedari JPM kwa wakati mrefu na hivyo ishakuwa Imani. Na hivyo hawezi kumsariti Hayati kirahisi rahisi tu.
Hata Mama mwenyewe hawezi.
Vitu vingine ni vidogovidogo tu kam vile Mama hawezi kuwa na flow na Mentality ya Hayati lakini Imani ya Maamuzi na ya uchapa kazi ishakaa.