Kwa Picha: Jifunze kufunga tai

Haha nishawahi kufunga tai kiajabu saana yaani watu walicheka sema jamaa mmoja akanipa step hizo za kwanza [emoji23]
 
Nakumbuka nilikua nafwata darasani ili niwafungie tie[emoji16]
 
Mara ya mwisho kufunga na kuvaa tai nafikiri ilikuwa 1998/1999
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…