Kwa Picha: Kuna watu watafikiri kuwa ni photoshop

Siku hz ndio maana rate ya magonjwa kama kansa inakua kubwa sana kwa sababu GENETIC MODIFICATION imekua kubwa ..

Tunajikuta tunatengeneza species ambazo zina accumulation ya toxic materials ..
 
Hao ni Brahma hakuna Genetic modification hapo ni kuku wa toka enzi. Mbegu hapa kwetu unaipata kwa 1.5 kwa pair
 
Siku hz ndio maana rate ya magonjwa kama kansa inakua kubwa sana kwa sababu GENETIC MODIFICATION imekua kubwa ..

Tunajikuta tunatengeneza species ambazo zina accumulation ya toxic materials ..
Hao kuku siyo genetic modified.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…