Kwa Picha: Kuna watu watafikiri kuwa ni photoshop

Usipotembea Wala kusoma vitabu unakuwa uko gizani unakuwa huna ufahamu wa kutosha unaona dunia Ni hapo ulipo.
Sasa umezoea kuku ana miaka 2 ana nusu kilo, huyo kuku anafika Hadi kg15.
Nawafahamu wala sihitaji tuition yako.
 
We jamaa ongeza zingine basi mfano TWENDE TUKAWINDE, SIZITAKI MBICHI HIZI, MANDAWA NA MANENGE, KULA MNO NI HASARA n.k Umekumbusha tulikotoka.

Tola alia gizani, Chopeku na mnofu
 
Nawapataje hao kuku wa mapambo ndugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…