Kwa picha: Nauza babaywalker ya pikipiki

Kwa picha: Nauza babaywalker ya pikipiki

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,926
Reaction score
95,626
Inakula mafuta kiduchu sana.Unaenda nayo popote kuanzia sokoni,kazini,kanisani hadi kwenye kula kitimoto. Inapita popote katika majira yote ya mwaka.

Changamoto: Haina siti/kiti cha kuwapa watu lifti😁😁😁

1635397507.jpg
 
Balance yake vipi maana inaonekana kama huna uzoefu nacho, ukiweka gia au ukishika breki wewe ndio unageuka kuwa tairi 😬
Naweza kukitumia kwenye barabara za mpalange?
 
Back
Top Bottom