Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,926 Reaction score 95,626 Oct 28, 2021 #1 Inakula mafuta kiduchu sana.Unaenda nayo popote kuanzia sokoni,kazini,kanisani hadi kwenye kula kitimoto. Inapita popote katika majira yote ya mwaka. Changamoto: Haina siti/kiti cha kuwapa watu lifti๐๐๐
Inakula mafuta kiduchu sana.Unaenda nayo popote kuanzia sokoni,kazini,kanisani hadi kwenye kula kitimoto. Inapita popote katika majira yote ya mwaka. Changamoto: Haina siti/kiti cha kuwapa watu lifti๐๐๐
Shing Yui JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 15,168 Reaction score 38,049 Oct 28, 2021 #2 Balance yake vipi maana inaonekana kama huna uzoefu nacho, ukiweka gia au ukishika breki wewe ndio unageuka kuwa tairi ๐ฌ Naweza kukitumia kwenye barabara za mpalange?
Balance yake vipi maana inaonekana kama huna uzoefu nacho, ukiweka gia au ukishika breki wewe ndio unageuka kuwa tairi ๐ฌ Naweza kukitumia kwenye barabara za mpalange?
wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,216 Reaction score 37,757 Oct 28, 2021 #3 Hii inamfaa polepole wa CCM.
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Oct 28, 2021 #4 Bei inasomekaje kam naimudubniende nayo chato