Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Kwa point tuliyofika kama nchi kunahitajika mwenyekiti wa chadema kama chama kikuu cha upinzani ambaye yuko tayari kwa mambo yafuatayo ambayo sidhani kama mbowe anayaweza
Kwa point tuliyofika inatakiwa ccm wakiweka mguu na chadema wanaweka mguu, wakiweka kichwa na chadema wanawake kichwa siasa za kubwmbelezana tena hazipo
Wewe mwenyekiti wafuasi wako wanachomolewa kwenye gari anaenda kuuliwa wewe upo tu na matamko, wengine wanatekwa wanapotezwa wewe upo na matamko huo ni udhaifu mkubwa sana wataendelea kufanya hivyo maksudi kwa sababu wanajua mbowe ni mtu wa matamko
- Kukaa jela hata miaka 10
- Kufa
- Kuteswa