Kwa wanaojianda na mitihani ni vizuri ukushea na wenzako baadhi ya past papers , zilizokwishafanyika za MCT .
Nimeambatanisha PRE INTERNSHIP EXAM, October 2021.
Baadae nitaweka post internship exam ya March 2021.
Ebu nipe ufafanuzi. Ukifeli pre internship inakuwaje na ukifeli post internship inakuwa vipi. Nimeuliza kwa sababu ndo nimeanza kuzipanda ngazi kaka. Ufafanuzi wako ni muhimu.
Ebu nipe ufafanuzi. Ukifeli pre internship inakuwaje na ukifeli post internship inakuwa vipi. Nimeuliza kwa sababu ndo nimeanza kuzipanda ngazi kaka. Ufafanuzi wako ni muhimu.
Ukifeli post internship unafanya sup
Ukifeli pre internship utaenda kwenda kufanya intern ila utakuwa na jambo lako baada ya internship kuisha[emoji28]