Kwa press conference ya Leo, hivi Msolla na Mwakalebela wana kazi gani hasa pale Yanga?

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Leo kwenye press conference nimeona Ceo wa Simba na afisa habari wakiwakilisha klabu yao ya Simba, kwa upande wa GSM walikuwepo Haji Manara, Senzo Mazingiza na afisa habari wa Yanga Hassan Bumbuli.
Kwa kweli nashindwa kuelewa kwann shughuli za Yanga siwaoni Msolla wala Mwakalebela ambao ndio viongozi halali wa Yanga kwa mujibu wa katiba, hao akina Senzo na Manara ni wawakilishi wa GSM ndani ya Yanga, je, nani analinda maslahi ya Yanga kwa sasa, je kwa vile Yanga wanafanya vzr basi mashabiki na wanachama hawaoni sababu ya kuhoji lolote, kwamba wao furaha ni matokeo ya ushindi tu?
Kwann waandishi wa habari hasa popoma Kitenge hawamuulizi Msolla na Mwakalebela maswali haya, kwamba kazi yao ni kufungua mashina, vikao na kufunga vikao? Wana faida gani ya kuwepo Yanga sasa, je hawaoni kuwa wakiwepo au wasiwepo Yanga haiwezi kutetereka? Kwann GSM ameteka madaraka ya akina Msolla, kwann Bumbuli anapewa nafasi ndogo au anadharaulika sana Yanga kuliko zungu pori?
 
Kolowizard mmeanza tena ngonjera zenu. Huyo Barbara aliteuliwa na nani hapo Mkiani?
 
Barbra ni muwakirishi wa MO
 
Hiyo sio kazi ya viongozi ni kazi ya kiutekelezaji
 
katiba imebadilika, CEO wa yanga ni Senzo (interim CEO)na ndo maana alikuepo janaa
 
Mbona huulizi kuhusi mangungo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga hakuna timu pale sema uzembe wa Mugalu ndio imeonekana nao wana timu hadi wamebahitisha kikombe
 
Kitimoto alishasema mwenye akili yanga ni Sunday Manara na Kikwete
 
Kwan Manara alisemaje kuhusu akili za watopolo, achilia mbali yule kocha wao prof. Luc Eimayel
 
Sasa manara ameambia abaki nyumbani aende senzo na bumbuli manara kagoma anapenda camera yule jamaa anamfanya bumbuli asiwe na amani pale yanga.
 
Akili za Makolo Bana shida sana kwanza kuvhanhia izi kama huu ni matumizi mabaya ya kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…