Kwa ramani hii ninunue bati ngapi

Kwa ramani hii ninunue bati ngapi

Lupe Tz

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2021
Posts
259
Reaction score
910
Nimeweka floor plan, ni kajumba kadogo dogo 1-master, 1-single Public toilet, Kitchen with 2 verandah, msaada ninunue bati ngapi wakuu?

FB_IMG_16412387795513835.jpg
20220406_165552.jpg
 
Siku hizi watu wanaenda na vipimo kiwandani; zinaweza kuingia chache kwa urefu tofauti tofauti
 
Tuwasiliane 0767605586 nikufanyie calculation Mimi Ni Quantity Surveyor Ila utatoa Ya soda
 
Hongera Mkuu,, Japo vidirisha umevibana sana ila sio mbaya,, Hongera kwa Ujenzi
 
Nimekipenda sana kiramani chako mkuu, samahani kimekula tofari ngapi? Nataka kujenga banda la nyumba nianzie maisha ila nimekipenda sana hiki
 
Wadau hii imekosa majibu?
Bila vipimo?
Ukubwa wa vyumba/verandah?
Hapo Kuna idadi ya mbao size mbalimbali, idadi ya bati, mwinuko wa bati anaotaka.
Si rahisi kupata jibu zuri.
 
Back
Top Bottom