Kwa ramani hii ninunue bati ngapi

Siku hizi watu wanaenda na vipimo kiwandani; zinaweza kuingia chache kwa urefu tofauti tofauti
 
Tuwasiliane 0767605586 nikufanyie calculation Mimi Ni Quantity Surveyor Ila utatoa Ya soda
 
Hongera Mkuu,, Japo vidirisha umevibana sana ila sio mbaya,, Hongera kwa Ujenzi
 
Nimekipenda sana kiramani chako mkuu, samahani kimekula tofari ngapi? Nataka kujenga banda la nyumba nianzie maisha ila nimekipenda sana hiki
 
Wadau hii imekosa majibu?
Bila vipimo?
Ukubwa wa vyumba/verandah?
Hapo Kuna idadi ya mbao size mbalimbali, idadi ya bati, mwinuko wa bati anaotaka.
Si rahisi kupata jibu zuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…