Niliandika haya siku 10 zilizopita!
Nikatukanwa. Nikabezwa. Nikaambiwa huwa najifanya mjuaji sana. Eti huwa najiona niko juu.
Haya sasa, siku ya siku imefika.
Mara nyingi huwa ni vigumu sana ku-reason na watu watangulizao hisia.
Nina msemo wangu mmoja hivi: intellect over emotions.
Labda baada ya leo, ambao hawakunielewa, wataanza kunielewa sasa.....