Uchaguzi 2020 Kwa rhetoric kama hizi, uwezekano wa jina lake kutokuwepo kwenye ballot paper unazidi kuongezeka

Unajua kuwa ethiopian airlines ilipata shida ikatua kisongo airport arusha na kuhatarisha usalama wa watu sababu uwanja ulikuwa mdogo?
Kwahiyo mnadhani hiyo ethopian airline itapata shida maeneo ya Chato ndiyo maana mkajenga uwanja wa ndege wa kimataifa hapo Chato?
 
Huko mkoani Geita kuna hifadhi kubwa kama Serengeti? Mbona haukujengwa mkoani Mara?
 
We jamaa kusema yeye si ngosha au jiwe hiyo personal conflicts, mwenye chuki binafsi ni babu yenu kama alikuwa tayari kuwanyima wana ikungi maji kisa ni jimbo la lissu hizo ndo chuki binafsi not political differences​
 
We jamaa kusema yeye si ngosha au jiwe hiyo personal conflicts, mwenye chuki binafsi ni babu yenu kama alikuwa tayari kuwanyima wana ikungi maji kisa ni jimbo la lissu hizo ndo chuki binafsi not political differences​
Umeishia la ngapi wewe?
 
mkuu siasa ni uvumilivu kama huna huvumilivu basi siasa iakua haikupendi japo wailazimisha ikupende kwa bahati mbaya tu
 
Wewe magufuri haishi mbinguni , haishi na malaika anaishi na binadamu hivyo mipango yake yote inajulikana , Ameshaona uwezekano wa kumshinda Lissu au Membe kwenye sanduku la kura haupo , ameshaagiza tume isipitishe majina yao hasa la Lissu ushahidi huu hapa.
 
“magufuri”.....seriously???
 
Lissu anaamini Mzee ndio yuko ya yeye kupigwa risasi
 
Acha woga wako. TL siyo ngosha wala jiwe. Huo ni ukweli. He wanted TL dead. Unataka amchekee wa nini. Wewe ungemchekea mtu anayetaka kukua? Maswali mengine, basi tu.
 
Acha woga wako. TL siyo ngosha wala jiwe. Huo ni ukweli. He wanted TL dead. Unataka amchekee wa nini. Wewe ungemchekea mtu anayetaka kukua? Maswali mengine, basi tu.
Tundu Lissu siyo ngosha?

Basi atakuwa ni nkema...🤣🤣
 
Wewe jamaa unapenda sana kujiona unajua kila kitu pia kujiona upo juu, hiyo inaweza kuwa ni delusion disorder nakushauri ukapime afya ya akili
Nimekuwa nasema lijamaa limekuwa ZWAZWA sieleweki na wachache lakini anazidi kujidhihirisha Sikh baada ya siku
 
Asikupotezee muda.
 
Pingamizi tutakalomuwekea mgombea wa kabila lako ni kama lile la Birtherism
 
Lissu mwanasiasa mufilisi.Hana sera ya maana,kazi mipasho tu kwa rais.Akaimbe taarabu tu,urais ataishia wa TLS tu huyo.
 
Actually, Lissu ana roho nzuri na ya ajabu sana. Kitendo alichofanyiwa ni zaidi ya Mandela alivyofanya na Makaburu... Cha ajabu jamaa bado anaongea kwa furaha na tabasamu bila hasira za wazi. Nyani Wew mwenyewe matusi ya JF sometimes yanakupa shida... Imagine 16 bullets in your body. Lissu is the man...!!
 
Unamjua aliyemfanyia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…