Uchaguzi 2020 Kwa rhetoric kama hizi, uwezekano wa jina lake kutokuwepo kwenye ballot paper unazidi kuongezeka

Mwache aendelee kubwata kama chemba iliyofurika. Ushahidi unakusanywa mdogo mdogo kwisha habari yake. Cha ajabu hata vyama vingine wameona hilo na wamesema. Utafikiri Mgufuli ni moja ya agenda zake. Ndio maana hapa Hai tumemtimua anapotezea muda wananchi kufanya shughuli za maendeleo.
 
Sasa kusema "mimi sio ngosha,mimi sio jiwe" na wewe ndo umeona uandae uzi kabisa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]raia bhana...
 
Sasa kusema "mimi sio ngosha,mimi sio jiwe" na wewe ndo umeona uandae uzi kabisa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]raia bhana...
Wewe na makamanda wenzio hamna akili kabisa.

Mmeshindwa hata kuelewa mlichokisoma.

Muda si mrefu mtanielewa tu.
 
Wewe na makamanda wenzio hamna akili kabisa.

Mmeshindwa hata kuelewa mlichokisoma.

Muda si mrefu mtanielewa tu.
Sawa boss....wew ndo mwenye akili ambae unasema anatumia lugha kali alafu mfano unaweka "mimi sio ngosha,mimi sio jiwe"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hongera kwa akili level za juu comrade[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Neno ‘halafu’ tu linakushinda kuandika!

Seuze kuelewa nilichokiandika??

‘Alafu’ ndo ushuzi gani huo?
 
Neno ‘halafu’ tu linakushinda kuandika!

Seuze kuelewa nilichokiandika??

‘Alafu’ ndo ushuzi gani huo?
Neno "sembuse" tu linakushinda utaweza kuelewa nilichokiandika...

Seuze ndo ushuzi gani? Naona tunajambiana mzee baba
 
Umeahau pia Rais ni Yesu, Raisi ni kiranja wa Malaika
 
[QUOTE="Nyani Ngabu, post: 36436516, member: sijui ila ni neno la kisukuma
 
Neno "sembuse" tu linakushinda utaweza kuelewa nilichokiandika...

Seuze ndo ushuzi gani? Naona tunajambiana mzee baba
Unaona ulivyo lijinga!??

Hata lahaja za Kiswahili huzijui.

Haya, futa ujinga wako.

Seuze hiyo hapo.

Unajua kuwa ethiopian airlines ilipata shida ikatua kisongo airport arusha na kuhatarisha usalama wa watu sababu uwanja ulikuwa mdogo?
Kwa maana hiyo hii ndio sababu ya kujenga uwanja wa kimataifa chato?
 
Alishamtukana mbona wakati anahojiwa na redio ya kenya wiki iliyopita..alisema kuanzia nyerere, mwinyi, mkapa na jk hawakujenga uwanja kwao sio hawa viongozi wa hivyo hovyo.
Hapo Tusi ni lipi sasa?
 
Niliandika haya siku 10 zilizopita!

Nikatukanwa. Nikabezwa. Nikaambiwa huwa najifanya mjuaji sana. Eti huwa najiona niko juu.

Haya sasa, siku ya siku imefika.

Mara nyingi huwa ni vigumu sana ku-reason na watu watangulizao hisia.

Nina msemo wangu mmoja hivi: intellect over emotions.

Labda baada ya leo, ambao hawakunielewa, wataanza kunielewa sasa.....
 
Amekatwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…