Kwa ripoti hii ya CAG kama kuna kiongozi wa CCM hajawa tajiri basi atakuwa Mjinga sana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Ukisikia Kauli ya Gerson Msigwa kuhusu kupigwa kwa Mihela kwenye ujenzi wa uwanja wa soka wa Arusha utashangaa sana kama Kuna Kiongozi wa serikali ya ccm Ambaye hajatajirika

Na kama yupo Kiongozi wa namna hiyo basi atakuwa fala sana!

Nchi inaliwa vibaya mno, tena inaliwa huku kukiwa hakuna Noma yoyote Yaani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…