Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Ni kweli ni vile tu Wafrica hatupendi kua appreciate kazi za wengine.I salute you kinsmen.
Sipo hapa kuwavunjia heshima manguli wengine walioimba RNB kabla ya benpol.
Hao kina Rama dee walikuwepo sawa lakini walikosa consistency ndio maana..
Ila benpol ni kichwa kikubwa sana akiamua kuimba anaweza sana tu
Tukumbuke alikuwaga kwenye label ya wagumu tu iliyokuwa inamilikiwa na producer Duke nadhani ni MLAB
Na yeye na grace matata ndio pekee walikuwa wanaimba pale wasanii wengine wote waliobaki kina stereo na wenzake walikuwa wanachana tu.
Kwahiyo Duke alikuwa anatengeneza midundo mingi ya genre ya hip hop..
Lakini Ben pol akawa anapita nayo tu
Refer hii "nikikupata"
View attachment 3419691 Hili lilikuwa Dundo kali sana hata benpol mwenyewe anajua beat tu la hip hop ila akalifanya liwe sweet RNB song .
Halafu kuna hii pia "maneno" nayo beat la Duke ni hip hop tu bado jamaa akaua vizuri tu.
View attachment 3419692
Huyu jamaa alishindikana kwa kweli .
Haya bado akaja na hii " pete" ingawa sidhani kama alitolea video yake
View attachment 3419693
Bado hujaweka hapo " samboira" bado hujaweka moyo mashine
Bado hujaweka "jikubali"
Halafu kuna hii " wapo" unaizingatia ila?
View attachment 3419694
Na hata alizoshirikishwa bado alifanya vizuri pia kwenye hizo collaboration.
View attachment 3419695
Kwa kweli apewe maua yake kabla hajafa ana kichwa kizuri cha RNB
Nawashangaa mnaodai jux ni mkali wa RNB
Labda tuseme anajua anazo nyimbo chache tena mwanzo mwanzo tu sikuhizi ameswitch anaimba amapiano zake hiyo RNB gani?
Its Pancho
Sisikii Jux aliucgapa sana. Big up to himJux alitoa ngoma kali mwanzoni tu na hapo katikati
Sisikii
Nitasubiri
Nikuite nani
Utaniua
Uzuri wako
Nk sikuhizi kaikimbia ameswitch
Hivi kwa sasa kwanini simsikii kidogo?Ni kweli ni vile tu Wafrica hatupendi kua appreciate kazi za wengine.
Ben Paul aliupiga mwingi sana
Sikuhizi alishakimbia huko anaimba big G songsSisikii Jux aliucgapa sana. Big up to him
Hii ngoma ya Mwanadamu amezaliwa anasema jina la Wimbo?I salute you kinsmen.
Sipo hapa kuwavunjia heshima manguli wengine walioimba RNB kabla ya benpol.
Hao kina Rama dee walikuwepo sawa lakini walikosa consistency ndio maana..
Ila benpol ni kichwa kikubwa sana akiamua kuimba anaweza sana tu
Tukumbuke alikuwaga kwenye label ya wagumu tu iliyokuwa inamilikiwa na producer Duke nadhani ni MLAB
Na yeye na grace matata ndio pekee walikuwa wanaimba pale wasanii wengine wote waliobaki kina stereo na wenzake walikuwa wanachana tu.
Kwahiyo Duke alikuwa anatengeneza midundo mingi ya genre ya hip hop..
Lakini Ben pol akawa anapita nayo tu
Refer hii "nikikupata"
View attachment 3419691 Hili lilikuwa Dundo kali sana hata benpol mwenyewe anajua beat tu la hip hop ila akalifanya liwe sweet RNB song .
Halafu kuna hii pia "maneno" nayo beat la Duke ni hip hop tu bado jamaa akaua vizuri tu.
View attachment 3419692
Huyu jamaa alishindikana kwa kweli .
Haya bado akaja na hii " pete" ingawa sidhani kama alitolea video yake
View attachment 3419693
Bado hujaweka hapo " samboira" bado hujaweka moyo mashine
Bado hujaweka "jikubali"
Halafu kuna hii " wapo" unaizingatia ila?
View attachment 3419694
Na hata alizoshirikishwa bado alifanya vizuri pia kwenye hizo collaboration.
View attachment 3419695
Kwa kweli apewe maua yake kabla hajafa ana kichwa kizuri cha RNB
Nawashangaa mnaodai jux ni mkali wa RNB
Labda tuseme anajua anazo nyimbo chache tena mwanzo mwanzo tu sikuhizi ameswitch anaimba amapiano zake hiyo RNB gani?
Its Pancho
Hivi kwa sasa kwanini simsikii kidogo?
Dah na hii imetulia sanaKuna ile "Bado kidogo" ilikuwa inanitia moyo sana...
Niliskia walizaa na mtoto kabisaBaada ya kutoa nyimbo kali kuna Mdada Mzungu alimzimikia sana. Akamchukua Ben Paul hadi Ulaya wakaoana. Nasikia waliachana.
Baada ya hapo Mwamba akapotea.
Kiukweli enzi hizo alitupa moyo sana wa kupambana huku mademu wakituzingua tulikuwa tunajipoteza na vinyimbo kama hivi kwa Subwoofer za mchongo