Kwa roho mbaya aliyonayo Mbappe hatadumu katika career yake

Kwa roho mbaya aliyonayo Mbappe hatadumu katika career yake

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Ukisikia madaraka ya kulevya kweli bwana mdogo kayaonesha.

Nimeangalia short clip videp dogo aki block mipira mazoezini isimfikie Messi kwa kuipiga nje, kila anapotaka kupasiwa Messi anawahi anapiga mbali.

Kiukweli Messi alijisikia vibaya sana, au dogo aliumia sana kufungwa final na Argenting World Cup.

Mbona bado mdogo sana ila ana mawazo ya kichawi hivyo.

Hafiki hata theluthi ya uwezo wa Messi sasa sijui iyo ego yake itamsaidia nini?
 
Kikombe cha Dunia ndio kikubwa kuliko vyote kwenye Soka.

Mbappe kaanza kukipata, kwa hiyo Messi awe mpole na ajiandae tu kustaafu
 
Kikombe cha Dunia ndio kikubwa kuliko vyote kwenye Soka.

Mbappe kaanza kukipata, kwa hiyo Messi awe mpole na ajiandae tu kustaafu
Kuanza ndiyo nn so wote wanavyo au?
 
Uliposema Mbappe hafiki hata theluthi ya uwezo wa Messi nimekuona huna hoja ya maana zaidi ya upeo mdogo na Chuki tu za kiAfrica.
 
Yule dogo asipoangalia Halaand atachukua ballon d'or kabla yake maana simuoni kwenye soka zaidi ya utukutu na kujiona.....hivi ss weusi tunashida gani?..

rejea baada ya kupoteza world cup final raisi anashuka kumpooza ila yeye hajali wala nini, tena ashukuru kuzamia France la sivyo huku ushago angeishia cha ndimu maana kinachomsaidi ni mbio tu ambazo ata mbwa anazo
 
Back
Top Bottom