Rula ya Mafisadi JF-Expert Member Joined Dec 28, 2024 Posts 404 Reaction score 852 Jan 14, 2025 #1 Hali ya rushwa ndani ya CHADEMA inatisha watu waadilifu hiki chama hakiwafai tena tafuteni chama kingine, Hii CHADEMA sio ile mnayoijua. Habari za rushwa CHADEMA ni za kiwango Cha Juu sana, Lissu, Lemma, Heche find your ways CHADEMA si chama tena.
Hali ya rushwa ndani ya CHADEMA inatisha watu waadilifu hiki chama hakiwafai tena tafuteni chama kingine, Hii CHADEMA sio ile mnayoijua. Habari za rushwa CHADEMA ni za kiwango Cha Juu sana, Lissu, Lemma, Heche find your ways CHADEMA si chama tena.
R ruhi JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 4,368 Reaction score 6,661 Jan 14, 2025 #2 Ushahidi iko wapi sasa.
milele amina JF-Expert Member Joined Aug 16, 2024 Posts 6,045 Reaction score 8,080 Jan 14, 2025 #3 Rula ya Mafisadi said: Hali ya rushwa ndani ya CHADEMA inatisha watu waadilifu hiki chama hakiwafai tena tafuteni chama kingine, Hii CHADEMA sio ile mnayoijua. Tetesi za rushwa CHADEMA ni za kiwango Cha Juu sana Click to expand... Lissu anasemaje!
Rula ya Mafisadi said: Hali ya rushwa ndani ya CHADEMA inatisha watu waadilifu hiki chama hakiwafai tena tafuteni chama kingine, Hii CHADEMA sio ile mnayoijua. Tetesi za rushwa CHADEMA ni za kiwango Cha Juu sana Click to expand... Lissu anasemaje!