TGHS A ni kama Tsh ngapi?Atà kama ingekua ni wewe mfanyakazi wa afya TGHS A utaacha kula rushwa ?? [emoji23][emoji23][emoji23]
THGA/1 ...Chini ya 500KTGHS A ni kama Tsh ngapi?
BalaaTHGA/1 ...Chini ya 500K
Msingi wa maada yangu ni kuinua hasira ili watumishi wapate ari na molari ya kudai haki zao, kwanza nakuunga mkono kua wanufaika wa rushwa ni wachache, kati ya watumishi laki sita labda wa serikali ni laki moja ndio hufikiwa na rushwa wengine hali ni mbayaUmeonesha upeo mdogo sana kwenye kujenga hii hoja yako. Maana hiyo serikali unayotaka iingie makubaliano na wafanyakazi, ndiyo inaongoza kwa vitendo vya rushwa.
Ndani ya hii nchi, ni wafanyakazi wachache sana wanaonufaika na hivyo vitendo vya rushwa. Ila ukija kwenye majority, hali ya maisha yao ni tete.
Nadhani sasa kwenye ile molari ya kudai haki kada wasizolipwa malipo ya ziada, mawasiliano na ama usafiri wataanza kusema na kufikiriwa, mambo ni mengi Kwa mtazamo lakini nitakua naanzisha maada za kuudhi ili wapate ari ya kudai stahiki zaoUmeonesha upeo mdogo sana kwenye kujenga hii hoja yako. Maana hiyo serikali unayotaka iingie makubaliano na wafanyakazi, ndiyo inaongoza kwa vitendo vya rushwa.
Ndani ya hii nchi, ni wafanyakazi wachache sana wanaonufaika na hivyo vitendo vya rushwa. Ila ukija kwenye majority, hali ya maisha yao ni tete.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]THGA/1 ...Chini ya 500K
Siyo kila mtu anakula rushwa.Ukweli uko hivo
Anzia mahakamani, polisi, hospital na idara nyingine kote wanajilia rushwa kama wametumwa,
Sasa hawa watu hawafai kuongezewa mishahara maana wanazoiba ni nyingi mno.
Wafanyakazi waingie makubaliano na serikali wakiacha rushwa ndio waongezewe mishahara na marupurupu mengine.
Tofauti na hapo wasiongezewe chochote kabisa.
Nyie ndo hamfai kabisa, mnachangisha michango kwa wanafunzi, mara tusheni, mara mitihani etc.Kada ya ualimu ndio kada isiyo na rushwa na ndio kada iliyo barikiwa kisha zingine ndo zitafatia badae