Kwa saa takribani 48 zilizobaki ccm zinatosha kumpata Rais Bora?

Kwa saa takribani 48 zilizobaki ccm zinatosha kumpata Rais Bora?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Kwa masaa machache yaliyobaki CCM watampata mgombea urais aliye bora au ndo ile tufanyeje na huyu anafaa?? kwakawaida tumekuwa tukipata mgombea urais tangu February leo tunakaribia Juni hakuna anayejua nani ji nani? yawezekana hii ni dalili ya kuchoka kwa chama kikongwe??
 
Naatamani na niniombea Tanzania inaendelee kuwa nchi ya amani miongoni mwa mataifa ya dunia hii. Amani hiyo isimamie shughuli zote kuu za kitaifa zinazolikabili taifa letu. Yote yanawezekana, kila mtu atimize wajibu wake kwenye eneo lake kwa wakati. Mungu ibariki Tanzania
 
Kwani Chadema wameshampata wao? Au wata copy na ku paste kutoka 2010?
We si unajua Chadomo ina watu wenye uchu na madaraka akina Dr. Silaa na Mbowe Makengeza naamini nia yao itabaki pale pale kucopy na kupaste tuu hakuna jingine, ni walala hoi na wachumia matumbo tu
 
Ni mwaka mzuri na mwema wa kihistoria kwa Tanzania kupata uongozi kwa ngazi ya madiwani, wabunge na Rais. Watanzania wote haya shime shime tuweke historia yetu kwa ulimwengu kuwa Awamu ya Tano ya uongozi inaingia madarakani kwa amani. Hilo linawezekana na ni dhahiri kwani Tanzania ni nchi yenye kufuata utawala wa sheria uliojengwa kwenye Katiba ya nchi ya 1977 na sasa Tanzania ipo kwenye mchakato wa kupata Katiba Mpya ambapo sasa Katiba Inayopendekezwa ipo kwa wananchi kwa ajli ya kusomwa ili muda muafaka wa kuipigia kura ukifika wananchi waweze kuipigia kura. Wakati ukifika wote wenye sifa tushiriki kupiga kura ili kupata Katiba yenye namna bora ya kuendelea kupata viongozi wetu kwa haki na amani nchini.
 
We si unajua Chadomo ina watu wenye uchu na madaraka akina Dr. Silaa na Mbowe Makengeza naamini nia yao itabaki pale pale kucopy na kupaste tuu hakuna jingine, ni walala hoi na wachumia matumbo tu
Kwahiyo wewe unamkusoa mungu katika uumbaji wake??au umeishiwa chakusema mbona kuna makamanda wapo hivyo na sisikii hizi kashfa mkizielekeza kwake te bora ya mbowe kuliko huyo!
 
Kwahiyo wewe unamkusoa mungu katika uumbaji wake??au umeishiwa chakusema mbona kuna makamanda wapo hivyo na sisikii hizi kashfa mkizielekeza kwake te bora ya mbowe kuliko huyo!

Walishampata,tena sio CDM ni Buguruni team chini ya umbrella ya UKAWA wmetumia mbinu zote wakashindwa wakaja na kigezo hiki, cheki hapa aliyakaa muda mrefu ndo huyo huyo!! Ha ha ha ha kwishaaa!!!

CHADEMA.

1992-1998. M/ kiti Edwin Mtei
1988-2003. M/kiti Bob Makani
2003-2008. Mkiti Freeman Mbowe
2009-2014. M/ kiti Freeman Mbowe
2014-2019. M/ kiti Freeman Mbowe

CUF (Civic United Front).

1995-2000. Mkiti Ibrahim Lipumba.
2000-2005. mkiti Ibrahimu Lipumba.
2005 -2011. mkiti Ibrahim Lipumba.
2011-2017 . mkiti Ibrahim Lipumba.

NCCR MAGEUZI.

1992-1995. Mkiti Mabere Marando.
1995-1999. Mkiti Augustin Mrema.
2000-2010. Mkiti James Mbatia.
2005-2010. Mkiti James Mbatia.
2010-2014. Mkiti James Mbatia.
2015-2020. Mkiti James Mbatia.

Kwahiyo wewe unamkusoa mungu katika uumbaji wake??au umeishiwa chakusema mbona kuna makamanda wapo hivyo na sisikii hizi kashfa mkizielekeza kwake te bora ya mbowe kuliko huyo!

Usiwe mwepesi wa kuzungumzia watu wengine. Simama imara mbele ya watu ukitetea taifa lako kuliko kutetea mtu hapa. Ndiyo maana mara zote Tanzania itabakia na watu huondoka. Jenga nchi yako acha kupoteza muda wako kuzungumzia watu na matakwa yao. Tujikite kusimamia nchi yetu kwa moyo wetu wote wakati wote.
 
Back
Top Bottom