Kwa sababu za kiusalama siyo Sahihi Mnyika wa CHADEMA kufanya Press Kesho wakati Nchi ina ugeni mkubwa wa Marais wa Africa. Wageni Wanaweza kuogopa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nashauri Msajili wa Vyama Vya siasa Mh Jaji Mutungi kumzuia katibu mkuu wa Chadema Mh Mnyika Kufanya mkutano wa waandishi wa Habari Kesho

Press ya Chadema ifanyike baada ya wageni kuondoka

Ikumbukwe Chadema ni Chama kikuu Cha upinzani na haijulikani Kesho wamepanga kuongea nini hali inayoweza kuwatia hofu Mabalozi na wageni wetu

Mtanishukuru baadae Mlale unono 😄
 
Hahahahaa hapo lisu hajaanza kuzunguka mikoani kushukuru watz kuchaguliwa kuwa chairman. Mbona safari mtalia sn
 
Wahenga walisema Maskini hana aibu.. Alikadhalika Njaa ikizidi inapanda kichwani..
 
Nashauri Msajili wa Vyama Vya siasa Mh Jaji Mutungi kumzuia katibu mkuu wa Chadema Mh Mnyika Kufanya mkutano wa waandishi wa Habari Kesho

Press ya Chadema ifanyike baada ya wageni kuondoka

Ikumbukwe Chadema ni Chama kikuu Cha upinzani na haijulikani Kesho wamepanga kuongea nini hali inayoweza kuwatia hofu Mabalozi na wageni wetu

Mtanishukuru baadae Mlale unono 😄
Waoga hukimbia pasipo kukimbizwa.

Serikali yenye hofu siku zote huogopa raia wake kuliko maadui wa nje
 
Nashauri Msajili wa Vyama Vya siasa Mh Jaji Mutungi kumzuia katibu mkuu wa Chadema Mh Mnyika Kufanya mkutano wa waandishi wa Habari Kesho

Press ya Chadema ifanyike baada ya wageni kuondoka

Ikumbukwe Chadema ni Chama kikuu Cha upinzani na haijulikani Kesho wamepanga kuongea nini hali inayoweza kuwatia hofu Mabalozi na wageni wetu

Mtanishukuru baadae Mlale unono 😄
chadema wanamambo y a ajabu sana kama watoto wadogo mambo yao
 
Ni Mnyika tu kakosa Hekima
Ewe kimbwenelehi tuoneshe hekima gani amekosa?

Sheria ipi imevunjwa na kwa katiba ipi?

Swrikali ienselee na shughuli zake na sisi Watanzania tuendelewna shughuli zetu. Kwanza wamefunga katikati ya jiji na sasa wanabaka uhuru wa maoni
 
Kwa akili za Mnyika anaweza kitangaza maandamano

Afadhali Mbowe ana uzoefu na mikutano ya Kimataifa 🐼
 
Nashauri Msajili wa Vyama Vya siasa Mh Jaji Mutungi kumzuia katibu mkuu wa Chadema Mh Mnyika Kufanya mkutano wa waandishi wa Habari Kesho

Press ya Chadema ifanyike baada ya wageni kuondoka

Ikumbukwe Chadema ni Chama kikuu Cha upinzani na haijulikani Kesho wamepanga kuongea nini hali inayoweza kuwatia hofu Mabalozi na wageni wetu

Mtanishukuru baadae Mlale unono 😄
Wageni wa matajiri hao,masikini tena muda huu wa January anatakiwa kutoka kila siku akatafute riziki kwakua hawezi weka akiba.
Magu aliliona hilo ndio maana alituhusu watu waendelee kufanya kazi kipindi cha korona
 
Wewe ni CCM. Unaleta confusion.
Kama wakisema no reform no elections,wewe inakudhuru nini?
Kama wakiuliza Soka yuko wapi,what is the problem?
 
Huyo judge mutungi aje kwanza kutufafanulia CCM kumteua sA100 wamefuata katiba?
Hivi wamewaacha akina Bashiru Ally, Polepole ,Biteko, Ndugai, Gwajima ,Majaliwa ,Mpina,Dr.Mwakyemne , Makamba,Nape n.k.
Wamemchagua nani sasa ?🤣🤣🤣🤣🤣
Au ndio farasi anakokotwa na mkokoteni
 
Back
Top Bottom