johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahahaa hapo lisu hajaanza kuzunguka mikoani kushukuru watz kuchaguliwa kuwa chairman. Mbona safari mtalia snNashauri Msajili wa Vyama Vya siasa Mh Jaji Mutungi kumzuia katibu mkuu wa Chadema Mh Mnyika Kufanya mkutano wa waandishi wa Habari Kesho
Press ya Chadema ifanyike baada ya wageni kuondoka
Ikumbukwe Chadema ni Chama kikuu Cha upinzani na haijulikani Kesho wamepanga kuongea nini hali inayoweza kuwatia hofu Mabalozi na wageni wetu
Mtanishukuru baadae Mlale unono π
Umeshafika Chadema HQ Mikocheni? πΌWahenga walisema Maskini hana aibu.. Alikadhalika Njaa ikizidi inapanda kichwani..
Waoga hukimbia pasipo kukimbizwa.Nashauri Msajili wa Vyama Vya siasa Mh Jaji Mutungi kumzuia katibu mkuu wa Chadema Mh Mnyika Kufanya mkutano wa waandishi wa Habari Kesho
Press ya Chadema ifanyike baada ya wageni kuondoka
Ikumbukwe Chadema ni Chama kikuu Cha upinzani na haijulikani Kesho wamepanga kuongea nini hali inayoweza kuwatia hofu Mabalozi na wageni wetu
Mtanishukuru baadae Mlale unono π
chadema wanamambo y a ajabu sana kama watoto wadogo mambo yaoNashauri Msajili wa Vyama Vya siasa Mh Jaji Mutungi kumzuia katibu mkuu wa Chadema Mh Mnyika Kufanya mkutano wa waandishi wa Habari Kesho
Press ya Chadema ifanyike baada ya wageni kuondoka
Ikumbukwe Chadema ni Chama kikuu Cha upinzani na haijulikani Kesho wamepanga kuongea nini hali inayoweza kuwatia hofu Mabalozi na wageni wetu
Mtanishukuru baadae Mlale unono π
Ni Mnyika tu kakosa HekimaWaoga hukimbia pasipo kukimbizwa.
Serikali yenye hofu siku zote huogopa raia wake kuliko maadui wa nje
Ewe kimbwenelehi tuoneshe hekima gani amekosa?Ni Mnyika tu kakosa Hekima
Kwa akili za Mnyika anaweza kitangaza maandamanoEwe kimbwenelehi tuoneshe hekima gani amekosa?
Sheria ipi imevunjwa na kwa katiba ipi?
Swrikali ienselee na shughuli zake na sisi Watanzania tuendelewna shughuli zetu. Kwanza wamefunga katikati ya jiji na sasa wanabaka uhuru wa maoni
Wageni wa matajiri hao,masikini tena muda huu wa January anatakiwa kutoka kila siku akatafute riziki kwakua hawezi weka akiba.Nashauri Msajili wa Vyama Vya siasa Mh Jaji Mutungi kumzuia katibu mkuu wa Chadema Mh Mnyika Kufanya mkutano wa waandishi wa Habari Kesho
Press ya Chadema ifanyike baada ya wageni kuondoka
Ikumbukwe Chadema ni Chama kikuu Cha upinzani na haijulikani Kesho wamepanga kuongea nini hali inayoweza kuwatia hofu Mabalozi na wageni wetu
Mtanishukuru baadae Mlale unono π
Hivi wamewaacha akina Bashiru Ally, Polepole ,Biteko, Ndugai, Gwajima ,Majaliwa ,Mpina,Dr.Mwakyemne , Makamba,Nape n.k.Huyo judge mutungi aje kwanza kutufafanulia CCM kumteua sA100 wamefuata katiba?
Ramli ipi imetumikaKwa akili za Mnyika anaweza kitangaza maandamano
Afadhali Mbowe ana uzoefu na mikutano ya Kimataifa πΌ
Ya Msimbazi center πRamli ipi imetumika