Kwa sasa ACT-Wazalendo ni Chama Tawala pamoja na CCM

Kwa sasa ACT-Wazalendo ni Chama Tawala pamoja na CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ukiisoma vizuri katiba ya Zanzibar utagundua kuwa chama kinachotoa makamu wa kwanza wa Rais nacho kinakuwa ni chama tawala na kinatoa Mawaziri wawili muhimu.

Hii maana yake ni kuwa ACT-Wazalendo ni chama tawala pia na hata makamu wa kwanza wa Rais maalimu Seif akija Tanganyika itifaki inamtambua kwa nafasi yake.

Kwa sasa siyo rahisi kwa mh Mbowe au Tundu Lisu kumkaribia makamu wa kwanza wa Rais maalimu Seif bila kuzingatia taratibu zilizowekwa kikatiba na kiitifaki.

Ndio kusema CHADEMA bado ni chama kikuu cha upinzani.

Maendeleo hayana vyama
 
Hizi siasa za awamu hii utafikiri za wapiga debe Ubungo
 
Back
Top Bottom