johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa sasa sera ya chadema ni..
1. Tanzania watu wanadondoka hovyo kwa corona
2. Tanzania corona imejaa
3. Rais Magufuli anaua watu kwa corona
Bila shaka kwa sera hizi, 2025 Lisu atapata 98%.
Kabisa mkuu, huwezi kukuta ujinga kama huu wanaofanya chadema hapa kwetu.Uwezi ukakuta ujinga kama huu kwa wazungu,wachina etc
Yani kuna kundi linataka watu wafe wa kudhani wanaweza kufanikiwa kwa kupata maendeleo? Pia kuna kundi ilinataa kutetea wanachini ili wasife!
Katika nchi za wazungu uwezi kukuta mwili wa mzungu umeokota msitini wala barabarani au kupenda watu wafe kwa kiasi kikubwa, sasa nchi hizi za kiafrika viongozi wanataka watu wafe!!
Kabisa mkuu, huwezi kukuta ujinga kama huu wanaofanya chadema hapa kwetu.
Marekani na Ulaya pamona na kuwa na vifo karibu 2000 kila siku lakini huwezi kukuta raia wapinzani wa selikali iliyoko mdarakani wakishabikia, kukuza na kupotosha jambo kwa manufaa yao ya siasa.
Hakuna dira mkuu, sasa hivi kazi yao ni kuwatisha watu kuhusu mabeberu na kujifanya tunapigana vita ya kiuchumi.Kwanza tuambie CCM, kwa sasa wana dira gani tofauti na uchumi wa kati endelevu
mkuu unapata tabu sana kutetea viongozi wajinga!Kwa sasa sera ya chadema ni..
1. Tanzania watu wanadondoka hovyo kwa corona
2. Tanzania corona imejaa
3. Rais Magufuli anaua watu kwa corona
Bila shaka kwa sera hizi, 2025 Lisu atapata 98%.
Hakuna wa kulaumu mwaka huuππ Watanzania wanajua ukweli. Sasa tafuteni suluhu ya ugojwa sio kupoteza muda kutafuta Chadema ππ si mlisema wanazuia maendeleoKwa sasa haieleweki chama kikuu cha upinzani Chadema kinafuata sera gani pamoja na ukweli kuwa wako mstari wa mbele kulihabarisha taifa athari za Covid 19.
Je, kwa sasa Chadema imeamua kujikita zaidi kwenye sekta ya afya na vifo vitokanavyo na magonjwa ya kuambukiza?
Nawatakia Kwaresma yenye baraka!
Maendeleo hayana vyama.
Mkuu ongeza jitihada kidogo kueneza hizo sera hapomkuu unapata tabu sana kutetea viongozi wajinga!
Wewe unatakaifuatwe sera ipi,ya barakoa au ya Bila barakoaKwa sasa haieleweki chama kikuu cha upinzani Chadema kinafuata sera gani pamoja na ukweli kuwa wako mstari wa mbele kulihabarisha taifa athari za Covid 19.
Je, kwa sasa Chadema imeamua kujikita zaidi kwenye sekta ya afya na vifo vitokanavyo na magonjwa ya kuambukiza?
Nawatakia Kwaresma yenye baraka!
Maendeleo hayana vyama.