Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Kwanza nitoe pongezi kwa viongozi wote waliochaguliwa na kuteuliwa katika uchaguzi huu wa CDM 2025 .
Pili mwaka huu ni mwaka wa Uchaguzi mkuu , pesa zinahitajika sana na adhani hutuna uhakika kama zile hela zilizokuwa zinatolewa kipindi kilichopita kama zamani hivyo wanachama na watu wenye mapenzi mema na chama ndiyo itakuwa chanzo kikubwa cha Mapato .
Wanachama hai milioni 2 wanatosha kuendesha chama .
Binafsi jana baada ya uchaguzi kuisha nililipa ada ya mwaka
TUSHIRIKI KUIMARISHA CHAMA

>>Hujambo, umefanikiwa kulipia ada ya mwaka Sh.2500 kwa malipo ya kumbukumbu namba RCTCDME1737532198151.Ahsante kwa kukijenga chama. PEOPLE'S POWER!
TUSHIRIKI KUIMARISHA CHAMA